ALIYEJIFANYA INJINIA AZIMIA, ABANANISHWA NA WAZIRI AWESO, ASHINDWA KUJIELEZA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-07-23
Просмотров: 41536
Ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso wakati akizungumza na mkandarasi baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi wa miji 28 katika unaojengwa katika kijiji cha Ufwala wilayani Wanging'ombe.
Waziri Aweso amesema utekelezaji wa mradi huo ulioanza mwaka 2023 umefikia 30% ambapo ulipaswa kuwa zaidi ya 80% ya utekelezaji wake na kutakiwa kukamilika Mwezi Mei 2026.
Hata hivyo Waziri Aweso ameonesha kuchukizwa na msimamizi wa mradi aliyejitambulisha kuwa yeye ni Injinia wa mradi huo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: