Victory Kwaya - MIFUPA (Official dance version) mazoezi
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 1555
Ezekieli alipewa ufunuo juu ya mifupa iliyolala katika bonde kubwa.
Ezekieli 37:1 - 14
Victory Kwaya ni kwaya ya vijana inayoimba nyimbo za injili na inapatikana Dar es salaam (Mbondole kwa muhaya).
Subscribe kwa video zaidi na kwa support. Barikiwa.
"Official dance ya nyimbo ya Mifupa 2026."
#victorykwayatanzania #victorykwaya #kwayainayoongozastep #nyimbozainjili2026 #bitizakwaya #beatkwaya #beatwaimbajibinafsi #tag #eagt #fpct #anglican #viralvideo #viral #viraltanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: