KARIBU UTAZAME SHINDANO LA KUMPATA MR & MISS CBE KAMPASI YA DODOMA KWA MWAKA 2023/2024
Автор: CBE DODOMA CAMPUS
Загружено: 2023-12-21
Просмотров: 975
Chuo Cha Elimu ya Biashara CBE Kampasi ya Dodoma katika kuhakikisha inaboresha swala zima sanaa ya ubunifu na michezo, Uongozi wa Chuo hiki kwa kushirikiana na Serikali ya Wanafunzi CBESO uliandaa shindano la kumtafuta Mr & Miss CBE ambapo washiriki wake walikuwa ni wanafunzi wa madaraja tofautitofauti ya Elimu.Shindano hili lilifanyika katika Ukumbi wa Royal village Mkoani Dodoma ambapo washindi wa Shindano hilo walijipatia zawadi mbalimbali kutoka kwa uongozi wa Chuo pamoja na wadhamini mbalimbali wa shindano hilo. CBE IS THE BEST!!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: