MBEYA CITY YAVUNJA UKIMYA YAWEKA MISINGI YA MAFANIKIO
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 24
Kufuatia mfululizo wa matokeo mabaya yaliyoikumba Klabu ya Mbeya City na hatimaye kuvunjwa kwa benchi la ufundi, leo klabu hiyo imeanza ukurasa mpya wa matumaini baada ya hivi karibuni kumtangaza rasmi kocha mpya, Meck Mexime.
Akizungumza mara baada ya kutangazwa, kocha huyo amesema lengo lake kubwa ni kuhakikisha timu inarejea kwenye ushindani na kufanya vizuri katika mechi zijazo, sambamba na kurejesha morali kwa wachezaji na mashabiki.
Kwa upande wake, msemaji wa klabu hiyo, Gwamaka mwankota amewataka mashabiki wa Mbeya City kutokata tamaa, akisisitiza kuwa muda wa mafanikio umefika na ni muhimu kwa mashabiki kuendelea kuiunga mkono timu yao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: