MWANANGU UNAONDOKA (audio)- OMARI KOPA
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2017-03-20
Просмотров: 19123
Burudani malidhawa hasa kwa yule anaelewa hii ni miongoni mwa unyago.Miaka fulani wimbo huu usikika sana kwenye baadhi ya harusi,na ninadhani mpaka sasa bado unatumika katika baadhi ya shughuri.Mtunzi hodari na mahari katika kuimba na kupanga mashihiri Omari kopa bado pengo lake alipata wa kuweza kulijiba mwenyezi mungu amuepushie na mazito ya kabri Amin.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: