WAZAZI WAANGUA KILIO MWANZA KUFUTWA MATOKEO YA WATOTO WAO
Автор: WIDE NEWS TV
Загружено: 2023-02-07
Просмотров: 7182
Wazazi na walezi wa watoto 140 wa shule ya sekondari Thaqaafaa iliyoko wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022 wameandamana kupinga watoto wao kufutiwa matokeo ya mtihani na kuiomba serikali kuingilia kati ili kupata ufumbuzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: