MADANGURO YA BEI CHEE UWANJA WA FISI MANZESE YANATISHA ! UONGOZI KINONDONI WAAGIZA YABOMOLEWE.
Автор: DP Media
Загружено: 2023-11-14
Просмотров: 48886
Uongozi wa Manispaa ya Kinondoni umetembelea eneo la Uwanja wa Fisi Manzese, na kutoa amri ya kubomolewa nyumba kadhaa zilizogeuzwa kuwa madanguro ambapo kuna zaidi ya vyumba vidogovidogo 355 vinavyotumika kufanya biashara ya kuuza mwili.
Mazingira ya vyumba hivyo ambavyo ngono huuzwa kwa kati ya shilingi 1,000 hadi 3,000 ni machafu kiasi cha kuwafanya hata Wanahabari waliokuwa wakichukua picha kupata wakati mgumu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: