WATU 300 KUTEMBEA DAR-DODOMA KWA SIKU 20 KUHAMASISHA AMANI
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2025-06-10
Просмотров: 64
Takribani watu 300 wanatarajiwa kufanya matembezi ya hiari ya amani, kwa umbali wa kilometa 452 kwa miguu, kuanzia Jijini Dar es Salaam mpaka Dodoma, lengo likiwa ni kuwaleta pamoja Watanzania katika kuhamasisha amani na maridhiano kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) ndio waratibu wa matembezi hayo yaliyoapangwa kuanza Juni 19, 2025 viwanja vya Mnazimmoja Dar es Salaam, yatakayoambatana na shughuli mbalimbali za uelimishaji wananchi, kama anavyoeleza Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, wakati akizungumza na vyombo vya habari.
#KhomeinTvUpdates
✍️Juma Mohamed-Dar
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: