HISTORIA YA MZEE DAUDI MYOKA || TULIA TRUST - UJENZI WA NYUMBA
Автор: Tulia Trust
Загружено: 2024-06-15
Просмотров: 45
𝗛𝗶𝘀𝘁𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗗𝗮𝘂𝗱𝗶 𝗠𝘆𝗼𝗸𝗮.
Mzee Daudi Myoka Amekabidhiwa Nyumba Siku ya leo Tarehe 14/06/2024 na Mgeni Rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust Ambaye Pia ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye Pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
#TuliaTrustNaJamii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: