IFAHAMU HISTORIA YA DARAJA LA MTAMBASWALA LINALOUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.
Автор: HTv Tanzania
Загружено: 2020-09-14
Просмотров: 61802
Daraja la Umoja Mtambaswala lililopo wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara lina urefu wa meta 720 na upana wa meta 13.5 ni kiunganishi kizuri kwa nchi hizi mbili Tanzania na Msumbiji,daraja hili limezinduliwa rasmi May 12/2010 na Rais wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete na rais wa Msumbiji Mh Armando Emilio Guebuza lengo ni kuinua uchumi wa nchi hizi mbili, wazo la kujenga daraja hili lilitolewa na marais waasisi marehemu Julius Nyerere wa Tanzania na Samora Machel wa Msumbiji mwaka 1975.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: