KWAYA TA MT KAMILI YOMBO -KIWALANI
Автор: kwaya Mt kamili
Загружено: 9 сент. 2024 г.
Просмотров: 35 просмотров
KWAYA YA MT KAMILI YOMBO KIWALANI IKIAZIMISHA MIAKA 42 TOKA KUANZISHWA KWAKE MNAMO MWAKA 1982 -2024.
HAFLA HIYO ILIUDHURIWA NA WAGENI MBALI MBALI NA KWAYA RAFIKI KUTOKA CHANG'OMBE. MGENI RASMI AKIWA NI BABA PAROKO WA PAROKIA YA MT KAMILI YOMBO KIWALANI PD. JOSEPH MASHAURI.
ALIWEZA KUGAWA VYETI KWA WASHAURI MBALI MBALI KUTOKANA NA MCHANGO WAO MKUBWA WALIYO ONYESHA KATIKA KUSHAURI KWAYA NA KUILEA KIIMA .

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: