SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege
Автор: NEW LIFE IN CHRIST DAR TV
Загружено: 2026-01-18
Просмотров: 7864
MWANZO 26:12
"Isaka akapanda mbegu katika Nchi ile, akapata Mwaka Ule Vipimo mia kwa kimoja, Bwana Akambariki"
Karibu katika Semina ya Kupanda na Kuvuna kwa Mwaka huu 2026. Inayofanyika hapa Katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
Semina hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege.
ASANTE KWA KUTAZAMA KUPITIA New Life in Christ Dar TV.
+255 757 140 419
+255 714 110 996
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: