RAIS SAMIA AKUTANA na MTOTO HAMIMU Aliyeomba KUMUONA USO kwa USO IKULU; BAADA ya KUMSAIDIA MATIBABU
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-04-26
Просмотров: 44581
RAIS SAMIA AKUTANA na MTOTO HAMIMU Aliyeomba KUMUONA USO kwa USO IKULU; BAADA ya KUMSAIDIA MATIBABU
Leo Aprili 26, 2023, Mtoto Hamumu amefika Ikulu na kumuona kwa macho kama alivyotamani kisha akamshukuru Rais Samia kwa msaada aliompatia wa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia alimuona mtoto huyo kwa mara ya kwanza wakati wa ziara yake akiwa kwenye msafara wa Rais katika Mji wa Nyakanazi mkoani Kagera tarehe 16, Oktoba, 2022 na kuagiza apatiwe matibabu baada ya kuhangaika kwa muda mrefu.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: