Askofu Reuben Katite atoa wito wa kuhubiri amani wakati huu wa siasa na kampeni.
Автор: ACK MALINDI DIOCESE
Загружено: 2022-06-23
Просмотров: 237
Askofu Reuben Katite (ACK Malindi Diocese) atoa wito na kuomba wachungaji kuendeleza injili ya Amani wakati huu wa Kampeni za Siasa za uchaguzi unaokuja Agosti tarehe 9. Akizungumza katika mkutano ya wachungaji wa Kianglikana Dayosisi ya Malindi (Diocese of Malindi Clergy Chapter) amewahimiza kuwa makini sana kuwaunganisha wale wanao wahudumia na watangaze habari njema ya ufalme wa Mungu. Hawafai kuegemea mrengo wowote bali kuwa muunganishi ya watu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: