YUSUFU - New Jerusalem
Автор: NEW JERUSALEM CHOIR ARUSHA
Загружено: 2021-06-27
Просмотров: 2686
#Yusufu #Joseph #Arusha #Praise #2021 #Anglican
Habari ya Yusufu, Mwana wa Yakobo; aliyeutunza utu wake na kuwa mwaminifu kwa Mungu; Mungu alimheshimisha sana kwakua alitunza uaminifu na uadilifu mbele zake.
Leo hii, nasi tuna shuhudiwa na wingu kubwa la mashahidi kama Yusufu ambao wameyashinda majaribu makubwa na magumu; Hatuna sababu wala kisingizio; Iko thawabu katika kuutunza utu wetu mbele za Mungu.
Neema ya Mungu ikutunze unapofatana nasi katika ujumbe huu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: