JIONEE SHULE MAALUMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU, ZAIDI YA BILIONI 3 ZIMEWEKWA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-14
Просмотров: 13016
Ujenzi wa Shule ya Sekondari Patandi Maalum ambayo ni Shule Tengeru Mkoani Arusha Jumuishi yenye watoto wenye ulemavu na wasio walemavu ulianza mwaka 2017 ambapo ina majengo 10 manne yakiwa ni madarasa 12, Ofisi mbalimbali Sita na majengo manne ya mabweni, jengo la utawala, bwalo na jiko ambapo kiasi cha Sh Bilioni 3.6 ndicho kilichotumika kukamilisha ujenzi wa shule hiyo ya mfano.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: