IBADA YA JUMAPILI | IBADA YA KUHITIMISHA SIKUKUU YA MAVUNO || 17/08/2025.
Автор: KKKT EBENEZER SHINYANGA (KES TV)
Загружено: 2025-08-16
Просмотров: 1405
Jumapili hii tunakusanyika pamoja katika nyumba ya Bwana kwa ibada ya shukrani ya pekee ya mavuno. Karibu uungane nasi kwa sifa, kuabudu na kushuhudia baraka za Mungu kupitia mavuno yake makuu.
🙌 Usikose kushiriki nasi kwa njia ya moja kwa moja hapa mtandaoni.
📌 Waweza kutoa sadaka yako kupitia akaunti zetu zifuatazo:
CRDB: KKKT KANISA KUU EBENEZER – 015093898670
HALOPESA: 0614575781 – ELCT SELVD KKKT EBENEZER
AIRTEL LIPA NAMBA: 65266434 – KKKT EBENEZER SHY
MIXX: 43397145 – KKKT KANISA KUU SHINYANGA
🙏 Mungu akubariki unaposhiriki nasi ibada hii ya pekee.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: