Darsa ya Tafsiri: شرح المصباح المنير في تهذيب تفسير ابن الكثير 🔴LIVE Aayah 120- 121 Ust Abu Raifah
Автор: Darsa na Mihadhara
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 18
Darsa ilifanyika Rajab 11, 1447H Jumatano Disemba 31, 2025
Tafsiri ya Suratul Baqarah تفسير سورة البقرة
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ
﴾قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠
"Na hawatoridhika nawe Mayahudi na wala Manasara mpaka ufuate mila zao; sema: Hakika Huda (Mwongozo wa) Allah ndio Mwongozo (sahihi pekee); na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yamekujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allah rafiki mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru."
Maana ya kisomo cha kweli مَعْنَى التِّلاَوَةِ الحَقَّةِ
﴾لَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَتْلُونَهُ حَقَّ تِلَاوَتِهِ أُولَـٰئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِهِ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ ﴿١٢١
"Wale Tuliowapa Kitabu wanakisoma kwa haki ipasavyo ya kusomwa kwake; hao ndio wanaokiamini, na atakayekikanusha basi hao ndio waliokhasirika."
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: