GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2022-07-06
Просмотров: 133400
Leo nakukutanisha na Mwanafunzi ambaye amepata Division One ya 3 katika mayokeo yaliyotangazwa leo na NECTA, Fadhili John Mboya ana umri wa miaka 20 katika maisha yake ya kusoma yote amesoma Shule za Serikali maarufu za Kata, Primary, Olevel alisoma mawenzi ambapo alipata division one ya 7, akaenda Mzunbe ambapo leo amepata One ya 3, Fadhili anatueleza amepokeaje matokeo na safari yake itakuaje.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: