FAIDA 12 ZA KULA MBEGU ZA MABOGA
Автор: SukaMedia
Загружено: 2022-02-25
Просмотров: 92776
Ulaji wa maboga ni muhimu lakini ni watu wachache wanaojua faida ya boga na mbegu zake.
Mbegu za maboga zimesheheni protini na madini kadhaa kama vile chuma, kopa, maginizia, manganizi na zinki, mbegu za maboga zinakuwa mbegu bora na muhimu kutafuna kila wakati baada ya kuzikaanga au zikiwa mbichi au kama zimepikwa na boga lenyewe kwani imethibitika pasipo na shaka kuwa mbegu za maboga zina faida lukuki kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa hatari zaidi ya 12.
Mbegu hizi unaweza kuzitafuna zikiwa zimekaushwa kwenye jua, ama kuzikanga kwa mafuta lakini pia mbegu hizi unaweza kuzisaga kupata unga ambao utakuwa unachanganya kwenye juisi yako ya matunda au uji angalau vijiko viwili kwa siku.
#Faharimedia #Faharitv
MABOGA, BOGA, KULA MBEGU, NGUVU ZA KIUME, KISUKARI, HEDHI, MIMBA, UJAUZITO, MJAUZITO, WAJAWAZITO, FAIDA 12, FAIDA ZA BOGA, MBEGU, UPUNGUFU WA DAMU, MSONGO WA MAWAZO, UVIMBE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: