Masheikh wa Uamsho Zanzibar waliotoka gerezani wapimwa afya zao hospitali ya Al-Rahma
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2021-06-17
Просмотров: 23324
Masheikh wa Uamsho wamepimwa afya zao katika hospitali ya Al-Rahma mjini Unguja. Daktari katika hospitali hiyo Dr. Saleh Mazrui amesema kuwa hospitali hiyo inawangojea na wengine waende kupima na kwamba watapokelewa kwa mikono miwili na kupewa huduma ya uhakika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: