LIVE: MISA TAKATIFU JUBILEI YA MIAKA 25&50 MASISTA WABENEDICTINE IMILIWAHA NJOMBE
Автор: Jimbo Katoliki Njombe Online Tv
Загружено: 2025-08-14
Просмотров: 532
Misa inaongozwa na Mhashamu Askofu Eusebio Kyando Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe Ambapo hapo Jana ilifanyika Ibada fupi ya Masifu ya Jioni yaliyoimbwa na Masista Wabenediktine wa Mt. Agnes, katika Monasteri ya Mt. Gertrude Imiliwaha - Njombe, ambapo ni vijilia ya Maadhimisho ya Jubilei ya Masista 11 wanaotimiza miaka 50 na Masista 3 wanatimiza miaka 25 ya Nadhiri za Kitawa.
Maadhimisho ya Misa Takatifu yanafanyika katika Sherehe ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: