GENGE EP 77 |SENGO ASHTUKA! Mapenzi Yavuruga Genge, Narabuku Apigwa Stop Bila Huruma!"
Автор: IRM PRODUCTION PLUS
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 5999
#GengeSeries #Narabuku #SengoVsNarabuku
Baada ya sintofahamu ya muda mrefu, hali inazidi kuwa moto magengeni! Sengo ashindwa kuvumilia tena, afichua ukweli mzito kuhusu Narabuku na kuibua hisia kali kwa wanagenge wote! Mapenzi sasa yanavuruga mipango ya uongozi... Je, Narabuku atavuka salama tena? Usikose kutazama sehemu hii kali yenye msisimko na mabadiliko makubwa kwenye GENGE! 🔥👀
#GengeSeries
#Narabuku
#SengoVsNarabuku
#DramaZaMtaani
#BongoSeries
#SwahiliMovies
#MapenziNaUongozi
#ActionSeriesAfrica
#ViralBongoContent
#YouTubeDramaTZ
#MchezoWaGenge
#GengeOfficial
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: