OPERATION YA PAUL MAKONDA "CLINIC YA KUTIMIZA HAKI ZA WANANCHI" YALETA MAJIBU ARUSHA.
Автор: Vuma Online Tv
Загружено: 2024-05-10
Просмотров: 129
Kufuatia operation ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda iliyopewa jina la "Clinic ya kutimiza haki za wananchi na kutatua Changamoto zao" inayoanza 08-05-2024 ambapo imefikia tamati hii leo 10-05-2024 imeleta majibu Kwa wananchi wanyonge.
#Vuma Online Tv#
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: