Sallam kuhusu kuhusishwa kuzima MIC ya Alikiba Mombasa
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-10-11
Просмотров: 75150
Salam ambaye ni meneja wa mwimbaji Diamond Platnumz, amefanya Exclusive na millardayo.com kuhusu malalamiko ya yeye kuhusika Alikiba kuzimiwa mic wakati akiwa jukwaani akitumbuiza Mombasa.
Sallam alikuwepo Mombasa Kenya kwenye tamasha hilo la Mombasa Rocks Music Festival ambalo Chris Brown, Vanessa Mdee, Wizkid na Navio pia walikuwepo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: