Shopping Canada na Familia new phone | Kenyans,Tanzanians life in 🇨🇦
Автор: LEZA FAMILY
Загружено: 2025-06-29
Просмотров: 1949
Maisha ni rahisi sana ukiwa na familia yako hapa Canada!
Katika video hii, tunaenda na familia yetu kwenye shopping mall hapa Canada, tukionyesha maisha ya kawaida na jinsi tulivyofanikiwa kununua simu mpya aina ya Samsung S25 Ultra 🛍️📱
Tunakuletea maisha halisi ya Canada kama familia kutoka Afrika Mashariki – Congo, Kenya, Tanzania – tukikuonyesha kuwa ndoto ya kuishi vizuri inawezekana 🇨🇦✨
👉 Kama unawaza kuhamia Canada au unataka kujua maisha ya kweli kwa familia zilizo immigrate kutoka Afrika, hii video ni kwa ajili yako!
🔔 Usisahau kusubscribe kwa channel yetu kwa video zaidi kuhusu maisha ya Canada, immigration, na familia!
WATCH NEXT: 🎥 [Video kuhusu kazi za Canada kwa Wakenya & Watanzania]
🎥 [Vlog nyingine ya maisha ya kila siku Canada] tembelea channel yetu ya Leza tv Canada link 👇👇👇👇👇👇
/ @leza_tv243
#MaishaCanada
#FamilyVlogCanada
#SamsungS25Ultra
#CanadaShoppingMall
#KenyaToCanada
#TanzaniaToCanada
#CongoToCanada
#ImmigrationCanada
#EastAfricaDiaspora
#CanadaVlog
#CanadianLife
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: