Jifunze namna ya kupika Ndizi Maharage (Matoke), kwenye Pressure Cooker
Автор: Jiko Point
Загружено: 2025-09-26
Просмотров: 206
Leo Jiko Point tumekuandalia mapishi ya Ndizi Maharage (Ndizi Matoke) zilizopikwa kwa ustadi kwa kutumia pressure cooker ya Manual kutoka West Point, inayopatikana Jiko Point kwa bei ya Tsh 170,000 pekee.
Kutumia sufuria hii ya kisasa kunarahisisha upishi, kuokoa muda na kuhakikisha ndizi zinapikwa vizuri, laini na zenye ladha halisi na harufu ya kuvutia.
Ndizi Maharahe ni chakula cha asili kinachopendwa na familia nyingi, na kwa kutumia pressure cooker hii unapata matokeo ya haraka bila kupoteza radha.
✨ Karibu ujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kupika ndizi tamu, laini na zenye radha ya kipekee.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: