MWANANCHI DAY | Haji Manara alivyotambulisha wachezaji wote wa Yanga kuelekea 2024/25
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-08-05
Просмотров: 124221
YANGA DAY 04/08/2024 | Tazama utambulisho wa wachezaji wote wa Yanga waliosajiliwa kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25. Utambulisho umefanywa na Haji Manara akiwa ametoka kutumikia kifungo chake cha miaka miwili.
Utambulisho maalum ulifanywa na Rais wa Yanga, Hersi Said kwa golikipa Djigui Diara.....
Ni Sherehe za Siku ya Mwananchi kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, LIVE #AzamSports1HD , Mgeni Rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: