KUTANA NA BINTI MREMBO ALIYEACHA KAZI SERIKALINI NA KUWA KATIBU WA MBUNGE "MIMI NAANGALIA MASLAHI"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-05-21
Просмотров: 31996
Paulina William Ni binti mwenye degree ya sheria ambaye ameacha kazi ya utendaji kata ambayo ameifanya kwa miaka mitano na kuwa katibu wa mbunge wa Jimbo la Ulanga.
Paulina anasema hakushauriana na mtu yeyote kuhusu jambo lake la kuacha kazi serikalini kwani alijua watamkatisha tamaa na yeye anamalengo take.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: