#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-10-25
Просмотров: 121
Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Prof. Paschal Ruggajo amesema, jumla ya Watoa huduma za Afya 3000 wa mikoa 26 kupewa mafunzo ya utoaji huduma za kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza ili kuwakinga wananchi ifikapo Desemba 2023.
Prof. Ruggajo amesema hayo Jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza kwa Watoa huduma za Afya, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali katika mapambano dhidi ya magonjwa hayo.
"Moja kati ya mikakati iliyopo ni kuimarisha huduma za msingi kuwapa mafunzo Watoa huduma za Afya juu ya utoaji wa huduma za kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza. Watoa huduma 3000 kufikiwa kutoka Mikoa 26." Amesema.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: