Mshikaji alisaidiwa lakini alipotajirika alikuwa na dharau sana!
Автор: CHASIMBA
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 3596
Hadithi hii inamfuata Zakayo, kijana aliyeanza maisha yake kwa umasikini, akipatiwa msaada mkubwa na jirani wema na familia ya Rashid. Alipata fursa ya elimu na msaada wa kifedha, lakini alipoingia kwenye utajiri, kiburi chake na dharau chake kwa wale waliomsapoti hakukoma kumchukua. Hadithi inachunguza mabadiliko ya tabia, dharau kwa msaada, na jinsi utajiri unaweza kubadilisha utu wa mtu. Ni simulizi yenye mafundisho ya maisha kuhusu shukrani, utu, dharau, msaada, utajiri, na anguko wa kiburi.
Hadithi hii ni hadithi ya kufikirika niliyoiandika mimi mwenyewe ili kuleta funzo na elimu kwa jamii
msimuliaji wako ni mimi chasimba karibu sana.
Hapa tunasimulia hadithi zenye mafunzo, mapenzi yenye majonzi na furaha, mahusiano yanayovunjika na kujengwa tena, na visa vya ajabu vya majini, mapepo, na ulimwengu wa giza usioelezeka. Kila simulizi lina mguso wa kipekee, wa kusisimua na wenye mafundisho ya maisha.
👂Usikose kila hadithi — bonyeza subscribe, like na comment ili kusapoti chaneli yetu!
https://www.instagram.com/chasimba_u2...
/ 1dbvltshah
#HadithiZaMapenzi
#SimuliziZaKweli
#DramaZaMapenzi
#VisaVyaAjabu
#Mahusiano
#HadithiZaMajini
#Chasimba
#MaishaYaWatu
#StoryTeller
#KiswahiliStories #HadithiZaKiswahili #DramaZaMaisha
#HadithiZaKweli
#KisaChaMaumivu #SimuliziZaUsaliti
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: