SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIM | KINGA KUBWA KUTOKA KWA ALLAH
Автор: NURDIN MEDIA
Загружено: 2025-10-13
Просмотров: 8235
Usipuuze video hii, ndani yake utagundua siri kubwa iliyojificha ndani ya Bismillahir Rahmanir Rahim — maneno matukufu yenye nguvu ya ajabu kutoka kwa Allah.
🕋 Ukisoma Bismillah kwa imani ya kweli, inakuwa kinga ya nafsi, nyumba, mali, na watoto wako.
💫 Ni silaha ya kiroho dhidi ya maovu, wivu, uchawi, na mikosi.
🕌 Fahamu namna ya kuitumia Bismillah katika maisha yako ya kila siku ili kupata baraka, utulivu na mafanikio.
👉 Tazama mpaka mwisho ujifunze namna ya kusoma kwa usahihi na wakati maalumu wa kusoma.
❤️ Usiache kusubscribe, kushare na kuandika “Ameen” kama unaiamini nguvu ya Bismillah.
---
#Hashtags:
#Bismillah #SiriYaBismillah #KingaKutokaKwaAllah #MaajabuYaBismillah #MujizaWaBismillah #QuranTakatifu #Mawaidha #DuaZaQuran #NurdinMedia #IslamicReminder #UstadhIzudin #Daawa #SiriYaQurani #AlHima #MasjidShibu #MuftMenk #TVImaan #Madina #Mwanza #Rwanda #Mikumi #Mtibwa #Simba #Ramadhan #SurahTukufu #SuratTwariq #SurahKauthar #SurahFeel #SurahTariq #SiriZaQurani #MujizaWaQurani #Baraka #Imani #Utulivu #MaishaYenyeBaraka #AllahAkbar #Ameen
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: