JUMA LA SHUKRANI | TUMEVUKA KWA NEEMA | MCH: ELISHA JUMA & CARLOS ALBERT | 28.12.2025
Автор: SDA Church Magomeni
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 676
BWANA AWABARIKI SANA.
Karibu katika ibada ya maombi ya asubuhi iliyojaa Neema, uponyaji na baraka.
Ibada hii imeandaliwa kwa ajili ya kukuimarisha kiroho, kukuinua katika imani, na kukuandaa kwa mwaka mpya kwa ushindi na matumaini mapya.
📖 Ee Bwana, nasikia sauti yako; asubuhi naweka ombi langu mbele zako na kungoja.” — Zaburi 5:3
🔔 Usisahau Subscribe, Like & Share ili ujumbe huu uwafikie wengi zaidi.
#sdachurchmagomeni
#IbadaYaAsubuhi
#SundayPrayer
#MaombiYaAsubuhi
#ElishaJuma
#PrayerAndBreakfast
#Imani
#Baraka
#MwakaMpya
#Worship
#YesuNiBwana
#UamshoWaRoho
#Maombi
#HopeInChrist
#Faith
#ChristianLife
#Gospel
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: