Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KARIM MANDONGA (MTU KAZI) AWA KIVUTIO ZANZIBAR

Автор: Zanzibar Daily

Загружено: 2023-08-19

Просмотров: 425

Описание:

ZAIDI ya Mabondia 14 akiwemo Karimu Mandonga na Dulla Mbabe wameendelea na ziara katika Maeneo mbalimbali Visiwani Zanzibar lengo likiwa kuhamasiha Wananchi kujitokeza kwa Wingi katika ufunguzi wa Mchezo wa ngumi za Kulipwa Agost 27 mwaka huu.

Mabondia hao wamekuwa kivutio kikubwa katika Mitaa mbalimbali Visiwani humo ambapo Usiku wa Jana walifika katika eneo maarufu la Forodhani kwa ajili ya kuhamasisha Wanachi na Kula chakula cha Jioni.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari Wafanyabiashara katika eneo la Forodhani, wamesema kuwa Ujio wa Mabondia hao umetoa fursa za kibiashara kwao ambapo mauzo yameongezeka zaidi.

"Ukweli kuwa tumefurahi leo kwa kumuona Mandonga katika eneo la Forodhani na mauzo ya biashara kwetu leo yameongezeka hadi kufikia Milio 2 na kuendelea," wameeleza.

Aidha Wafanyabiashara hao waipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuruhusu Mchezo wa Ngumi za Kulipwa Visiwani humo kwani unatoa fursa mbalimbali za Ajira kwa Vijana.

"Ukweli kuwa Mchezo huu unatoa fursa za Ajira kwa vijana wetu pamoja n kutangaza Visiwa hivi," walieleza.

Mabondia hao wanatarajiwa kupima Afya zao kuelekea Mapambano hayo ambayo yanatarajiwa kufanyika katika katika Viwanja vya Maotsung Mjini Magharib Unguja.

KARIM MANDONGA (MTU KAZI) AWA KIVUTIO ZANZIBAR

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

VITASA ZANZIBAR | Mandonga alivyochezea kichapo kutoka kwa Othman Kiluwa | 27/08/2023

VITASA ZANZIBAR | Mandonga alivyochezea kichapo kutoka kwa Othman Kiluwa | 27/08/2023

🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 12, 2025 - WATANO WAFARIKI AJALI YA LORI DODOMA

🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 12, 2025 - WATANO WAFARIKI AJALI YA LORI DODOMA

Армения и Азербайджан: мирный план и новый коридор, поддерживаемый США

Армения и Азербайджан: мирный план и новый коридор, поддерживаемый США

HOFU!! Bonface Mwabukusi Atikisa Ikulu Na Kutawanya CCM Baada Ya Ujumbe Wake Mkali

HOFU!! Bonface Mwabukusi Atikisa Ikulu Na Kutawanya CCM Baada Ya Ujumbe Wake Mkali

Mfahamu Mfugaji Samaki wa Mapambo Zanzibar

Mfahamu Mfugaji Samaki wa Mapambo Zanzibar

Przestań jeść takie JAJKA – robisz sobie krzywdę!

Przestań jeść takie JAJKA – robisz sobie krzywdę!

Три человека, которые тихо разрушают вашу жизнь после пятидесяти!

Три человека, которые тихо разрушают вашу жизнь после пятидесяти!

Prawda o witaminie D wyszła na jaw...

Prawda o witaminie D wyszła na jaw...

Dumny z siebie Czarzasty odrzucił veto prezydenta!

Dumny z siebie Czarzasty odrzucił veto prezydenta!

🔴 48 posiedzenie Sejmu RP dzień pierwszy 17.12.2025 - Transmisja na ŻYWO z obrad Sejmu 🔴

🔴 48 posiedzenie Sejmu RP dzień pierwszy 17.12.2025 - Transmisja na ŻYWO z obrad Sejmu 🔴

💔Tundu Lisu Apinduliwa Akiwa Gerezani!! Upinzani Yachomwa Mioyo

💔Tundu Lisu Apinduliwa Akiwa Gerezani!! Upinzani Yachomwa Mioyo

Кто на самом деле управляет Грузией и почему она сближается в Россией?

Кто на самом деле управляет Грузией и почему она сближается в Россией?

ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIA KANISANI MSIBA WA JENISTA MHAGAMA HICHI HAPA

ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIA KANISANI MSIBA WA JENISTA MHAGAMA HICHI HAPA

Oldies Classic Christmas Songs 1940s - 1960s 🎶 Vintage Christmas Songs Playlist 🎄

Oldies Classic Christmas Songs 1940s - 1960s 🎶 Vintage Christmas Songs Playlist 🎄

🌟🎄 POLSKIE KOLĘDY dla dzieci - Kolędy do śpiewania i pastorałki 🎄🌟

🌟🎄 POLSKIE KOLĘDY dla dzieci - Kolędy do śpiewania i pastorałki 🎄🌟

Bomby, drony i 40 tysięcy dezerterów. Płk rez. Piotr Lewandowski: Front może pęknąć w każdej chwili

Bomby, drony i 40 tysięcy dezerterów. Płk rez. Piotr Lewandowski: Front może pęknąć w każdej chwili

MĘCZARNIE BARCELONY, TRZECIOLIGOWIEC SIĘ POSTAWIŁ! GOLE CHRISTENSENA I RASHFORDA NA WAGĘ AWANSU

MĘCZARNIE BARCELONY, TRZECIOLIGOWIEC SIĘ POSTAWIŁ! GOLE CHRISTENSENA I RASHFORDA NA WAGĘ AWANSU

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO JUMATANO...

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO JUMATANO...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Smooth Jazz & Soul | Relaxing Instrumental – Chill Music for Work & Focus

Smooth Jazz & Soul | Relaxing Instrumental – Chill Music for Work & Focus

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]