MKE AMTAFUTIA MUME MWANAMKE NJE YA NDOA ILI ASIMUINGILIE WAKATI AKIWA NA KICHANGA. MAANA KILA SIKU
Автор: Mkoi TV
Загружено: 2024-08-28
Просмотров: 2521
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 Mkoi Tv Online. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅
MKE AMTAFUTIA MUMEWE MKE MWINGINE ILI AMPE TENDO LA NDOA WAKATI YEYE AKIWA BADO NA KICHANGA.
MAANA MUMEWE HUYO KILA SIKU ANAHITAJI, ILI KUOGOPA WASIMUHARIBU MTOTO AKAMUOMBA RAFIKI YAKE WA KIKE AWE ANAMPA PENZI MUMEWE HADI MTOTO ATAKAPOACHA KUNYONYA HARAFU ATAMUACHIA MUMEWE..!
GODEGODE-MPWAPWA DODOMA
Huu ni upendo wa DHATI kabisa Msichana huyu ana eleza alivyomtafutia mumewe mke ambae ni shoga yake ili awe anashiriki nae tendo la ndoa wakati yeye akiwa bado ana kichanga.
Dada huyu anasema mumewe huyo ilikuwa hawezi kulala bila tendo la ndoa hapa mara moja tu, Hivyo kuogopa wasimuharibu mtoto kwa kumbemenda basi akaamua kumtafutia mumewe mwanamke mwingine ambae ni rafiki yake wa karibu ili awe ana mridhisha mumewe kwa kipindichote wakati yeye akiwa kwenye uzazi.
Na atakapokaa sawa basi amuachie mumewe, Kwa babati mbaya MUME afariki mazingira ya utata, SASA AWAOMBA WATANZANIA.
VIDEO HII HAPA, Kama kawaida share, video zetu, Subscribe Mkoi Tv ili kuipa nguvu ya kuendelea kukuletea matukio adhimu kama haya..
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: