MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-02-28
Просмотров: 227657
MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO
MUME wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, Recho Haule, Saguda George ametoboa siri nzito juu ya maisha yake na aliyekuwa mkewe (Recho), ambapo miongoni mwa mambo ambayo yamebaki kuwa kumbukumbu ya kudumu ni pamoja na baadhi ya nguo alizokuwa akizipenda marehemu Recho, pamoja na mdoli.
Katika mahojiano na kipindi bora kabisa cha Mpaka Home, Saguda aliweka bayana mambo mbalimbali ya kushangaza kuhusu maisha yake na marehemu Recho.
Je, ni mambo gani hayo? Tazama hatua kwa hatua ya kipindi hiki bora kabisa, Mpaka Home.
Msiba wa Rachel ulivyokuwa: • RACHEL HAULE 'RECHO' TUTAKUKUMBUKA DAIMA!
Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: