KIMYA - Vitali Maembe
Автор: Vitali Maembe
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 1459
Kumekuwa na matukio ya Watu kutekwa na wengine kuokotwa wakiwa wamefariki ndani ya hii Afrika ya Mashariki, inatupasa kuvunja ukimya ili tulinde thamani ya utu.
Ukimya ni ukatili zaidi ya ukatili uliofanywa na ukaukalia kimya.
Maisha yetu huanza kuisha siku tunaponyamaza kuhusu mambo muhimu
Kupuuza uovu ni kuambatana nao
Silence is Violence
Our lives begin to end the day we become silent about things that matter
To ignore evil is to become accomplice to it
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: