TALENT SHOW: Huduma ya Mtoto (Compassion) TZ823, wameona hiki kipaji kwa huyu mtoto
Автор: FPCT Shalom Temple Kahama
Загружено: 2019-02-02
Просмотров: 384
Kituo cha Huduma ya Mtoto (Compassion) chenye usajiri TZ823 kilichopo hapa FPCT Shalom Temple kimekuwa kikifanya matukio kadha wa kadha kwa watoto wanaolelewa hapa TZ823,
Miongoni mwa matukio ambayo hujiri ni pamoja na kujuwa vipaji ambavyo Mungu ameweka kwa watoto hao, February 02 2019 kulikuwa na siku ya vipaji kwa watoto hao na kulijiri mambo mengi ikiwemo uchoraji, kucheza pamoja na kuimba, karibu kuona watoto walivyoimba nyimbo zilizoimbwa na wasanii wa Injili mbalimbali kupitia video hapa chini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: