Jinsi ya kupika Bhajia za Dengu | Diko By Monalisa
Автор: Diko by Monalisa
Загружено: 2022-05-20
Просмотров: 9524
Kwenye toleo hili tunajifunza kupika bhajia za dengu. Kitafunio hiki kinafaa kwa chai ya familia nzima. Ni pishi la haraka na lenyewe uwezo wa kuchangmsha wageni wakati wa shuguli au ghafla yoyote. Pishi hili lina ladha ya uchumvi na linafaa kwendana na pili pili au chachandu pia.
_______________________________________________________________________________________
Pika basi na wewe unipe mrejesho kwenye comments 👇🏾
📺 Sasa pia unaweza kupata mapishi ya diko ndani ya kipindi cha "Binti Bora" kwenye TBC2 kila Jumatatu saa 3 usiku na marudio kila Jumatano saa tano ashubui na Jumapili saa nne ashubui au uka stream online hapa https://tbc.go.tz/tbc2/
🗞Monalisa pia naandika jinsi yakupika kwenye kila nakala ya jarida la Bang Magazine! https://issuu.com/bangmagazine7/docs/...
🗞Monalisa pia naandika jinsi yakupika kwenye kila nakala ya jarida la ndani ya ndege ya Precision Airways, yani PAA https://issuu.com/landmarine/docs/paa....
______________________________________________________________________________________
Nipo pia Instagram https://instagram/dikobymonalisa
Kwa hoja za kibiashara, piga simu +255 769 516 076
______________________________________________________________________________________
Host: Monalisa Lizzy Rwechungura
Executive Producer: Godfrey Kaizirege Rwechungura
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: