BEAUTY & STYLES: Siri ya Urembo wa Nora, 'Niliwahi Kuolewa'
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-02-27
Просмотров: 14618
BEAUTY & STYLES: Siri ya Urembo wa Nora, 'Niliwahi Kuolewa'
Ni kipindi cha Beauty& Styles kinachozungumzia na kuchambua masuala ya urembo na kukupa elimu juu ya afya ya ngozi yako hususani kwa wanawake.
Katika kipindi hichi ambacho mgeni ni muigizaji mkongwe wa filamu nchini, Nuru Nassoro 'Nora', ambapo mada iliyopo mezani ni kuhusiana na uhalisia wa mastaa wengi wanavyoonekana kwenye runinga na ukikutana nao laivu, ambapo Nora amesema ni kutokana na mastaa hao kutokujiamini kwa kuona kwamba bila Make Up hawawezi kutoka hata nje.
Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: