MAUAJI KUSHIKA KASI LUBERO NA BENI DRC WAKAAZI WAFANYA MGOMO LUBERO
Автор: MTV1 ONLINE
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 970
DRC/Maandamano ya wakaazi wa Lubero kuomba kumaliza ADF.
Wakaazi wa Lubero waomba suluhisho la haraka kuhusu mauaji ambayo yameshika kasi wilayani Lubero hasa katika secta ya. Bapere ambako watu huuliwa kila siku na vijiji kuchomwa moto na watu kutekwa.
katika siku chache watu zaidi ya elfu moja mia tano wakaiwaa wameuwawa kwa visu mapanga na shoka na wengine kwa risasi katika uangalizi wa serikali ya kinshasa na vyombo vya usalaama.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: