JIFUNZE SHERIA INAELEZA NINI KUHUSU UTWAAJI WA ARIDHI NA FIDIA.
Автор: SERENGETI TV
Загружено: 2022-02-17
Просмотров: 1331
#serengetitv tumekusudia kukuhabarisha na kukuburudisha ##
kipindi ni mlinzi wa haki.
maada utwaaji wa aridhi na fidia sheria inaelezaje!?
kupitia sheria ya aridhi no,5 ya mwaka1999
aridhi ni tabaka la juu ya uso wa dunia ikiwa ni pamoja na mimea, nyumba isipokuwa madini,mafuta na gesi
ikiwa serikali itaamua kutwaa aridhi yako sheria inaeleza wazi kuwa utapata fidia ya aridhi yako kulingana na soko kwa mda huohuo.
endelea kufuatilia serengetitv.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: