Jinsi Ya Kutengeneza International TikTok Account
Автор: Itsdandevan
Загружено: 2024-10-02
Просмотров: 27780
Kwenye hii video utajifunza namna ya kuweza kutengeneza international tiktok account.
Pia msisahau kwamba account hii ambayo nimeitengeneza nitaigawa kwa mmoja wenu, kwaio kama unaitaka account hii usisahau kuandika comment ambayo ni nzuri yenye sababu kwanini unaitaka account hii.
MUDA NI SIKU 10 TU!
Ikitokea unaona maelezo ni mengi basi unaweza ukagusa muda husika ukarukia kwenye kipande husika cha video hii.
Timecodes:
0:00 - Utangulizi
0:48 - Njia ya kwanza ya kuingiza pesa kupitia TikTok
1:20 - Njia ya pili ya kuingiza pesa kupitia TikTok
1:37 - Uelewa zaidi kuhusu International Account
3:14 - Vigezo vya kutimiza ili uingie kwenye Creators Rewards Program
4:06 - Nini ufanye ili video zako ziingize pesa
5:25 - Vitu vinavyohitajika ili uweze kutengeneza International Account
6:15 - Hatua za namna ya kutengeneza International Account
6:26 - Jinsi ya kutengeneza Chrome Profile mpya
6:43 - Jinsi ya kutengeneza Gmail mpya
8:21 - VPN
9:39 - Kuitumia VPN
10:09 - Kufungua International Account
11:44 - Kuingia kwenye International Account
12:50 - Kukagua kama account ni International au sio International
13:22 - Creators Reward Program
14:24 - Hitimisho
Pia naomba usisahau kusubscribe, kulike & kushare kwa marafiki zako na familia.
Social Media zingine:
TikTok: https://www.tiktok.com/@dandevantz?_t...
Instagram: https://www.instagram.com/itsdandevan...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: