"Unalalamika hela za rambirambi umechangia nini? msimamo wangu hautapinda kamwe"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-05-10
Просмотров: 36210
Muigizaji wa Bongo Movie Steve Nyerere amezungumza kuhusu watu wanaolamika kuwa yeye na baadhi ya watu waliokuwa kwenye kamati ya mazishi ya msiba wa Masogange wamekula hela za rambirambi ambapo Steve amedai kuwa anashangaa sana watu kwenda kulalamika mitandaoni kuhusu hela hizo wakati mtu huyo hajatoa kitu zaidi ya kuvaa sare na kulia.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: