VIDEO: Kijana anaye hangaika aonyesha uwezo wa kipaji chake!
Автор: Super News TV
Загружено: 2017-08-13
Просмотров: 1055
Vijana wengi wamekuwa waki hangaika ili kutimiza ndoto zao kupitia vipaji vyao. Lakini Changamoto za hapa na pale zimekuwa ndio kikwazo kibwa na baadhi yao wamekuwa wakikata tamaa na kujihusisha na mambo yasio ya msingi.
Kijana Vicent Petro aka "Nivo" baada ya kuhangaika kwa muda bila kupata msaada wa kisanaa yaani (Support). Sasa amejiunga kwenye New Talents Tanzania ili aweze kuwaonyesha Watanzania uwezo wa kipaji chake kupitia Super News TV ili mwenye uwezo wa kumsaidia ajitokezo.
Tazama na kusikiliza uwezo wake ukivutiwa nao unakaribishwa kwa support yoyote kwake.
Enjoy to watch Super News TV online made in Tanzania subscribe our Channel for more Videos.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: