Nasheed ya Kipekee kwa Wahitimu wa Fuoni 2025 – Inagusa Moyo|OFFICIAL VIDEO PERFORMANCE |FULL HD
Автор: MJAWIR MEDIA
Загружено: 2025-06-25
Просмотров: 969
Karibu!
Hii ni nasheed mpya kabisa iliyoimbwa kwa ajili ya Mahafali ya Skuli ya Fuoni Secondary mwaka 2025.
Nasheed hii inaleta ujumbe wa amani, mshikamano, huruma, dua, na matumaini kwa wahitimu wanaoanza safari mpya ya maisha.
🕌 Imetungwa na kuimbwa na wanafunzi wa Fuoni wenye vipaji
📍 Mahali: Zanzibar – Fuoni Secondary School
🎓 Maudhui: Mahafali | Elimu | Dua | Amani | Mshikamano
Tafadhali:
Like
Share kwa wanafunzi na walimu
Subscribe kwa nasheed zaidi za kielimu na kijamii
#NasheedMpya2025 #MahafaliFuoni #FuoniSecondary #GraduationNasheed #IslamicNasheed #Zanzibar2025 #NasheedZaKiswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: