SIMBA WA AFRIKA
Автор: Kwaya Bikira Maria Mama wa Shauri Jema
Загружено: 2023-10-11
Просмотров: 5421
Kwaya ya Bikira Maria Mama wa Shauri Jema kutoka Parokia ya Kristo Mfalme, Jimbo Katoliki Moshi, Wanakukaribisha uweze kutazama wimbo huu maalum wa kumuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Wimbo: Simba wa Afrika
Mtunzi: Patrick Donge
Waimbaji: Kwaya ya Bikira Maria Mama wa Shauri Jema - Moshi
Audio & Video: RAJO Productions
Organist: Ray Ufunguo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: