Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-05-24

Просмотров: 352632

Описание:

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Mi na rafiki yangu huyu tumepishana zaidi ya miaka kumi na nne, wakati anazaliwa mimi nilikua nagombana na makondakta kupata nafasi kwenye chai maharagwe ya kutoka Buguruni kuelekea Posta. Ila kupishana kwetu kwa umri naamini ndo kunaufanya ushoga wetu uwe special zaidi, maana yeye akiwa ananikhadithia kinachokiki kwenye umri wake, nami nakua namuelezea challenges za unapozidi kukua na naamini hii inatufanya tuwe bora zaidi. Na ki ukweli mara nyingi yeye amekua shujaa wangu, maana kuna mengine mazito kwake yanakua mepesi tu na hunisaidia kuona mambo kwa picha tofauti. Kwa hilo namshukuru sana. Wakati mwengine wanasema umri sio kipimo cha busara, rafiki yangu huyu kupitia mengi, kwahiyo moyo wake wa ‘chuma’ unatusaidia wengi kwenye kuweza kupambana na dhurba mbali mbali.

Hapa sina haja hata ya kukuambia alipitia mitihani kiasi gani maana dunia nzima inajua, ila naweza tu kukuambia kwamba hakuna binti mwenye moyo wa utayari na ambae hana uwoga pale anapokua anasimamia lake kama Elizabeth Michael Kimemeta. Kwanza akiweka nia kwenye jambo lake lazima liwe... Atafunga, atakesha asali, ataweka akili na mawazo yake yote humo mpaka Mwenyezi Mungu amtimizie, nishashuhudia hilo sio mara moja wala mbili na naweza nikasema binafsi ameni inspire sana kwenye suala zima la funga na sala. Nani kamfundisha hayo? Kwa umri wake aliokua nao wakati matatizo mazito yalipomfika pengine usingedhani angekua binti wa dizaini hiyo. Miaka minne au mitano ambayo Alikutwa na yale matatizo ya kesi na mpaka akatumikia kifungo ni miaka ambayo ilimfaya akue sana. Ki imani na kiakili.

Kwenye kipindi hiki hakua bado tayari kuzungumzia usiku ule ulobadilisha maisha yake ila kaniahidi akiwa tayari basi atafiria kutushirikisha kwenye hayo maongezi ila inawezekana pia hiyo siku isifike, nna hisia hiyo ni kurasa ya kwenye kitabu ambayo amechagua kuiruka kwa sasa au pengine milele, na maamuzi hayo mimi na wenzangu tuliyaheshimu.

Sote tunakumbuka wakati anakua, kila kukicha yuko kwenye gazeti ila kwa sasa huyo si yule, amekua ki mwili, ki akili na hata ki sanaa pia. Mambo yake si ‘hadharani’ tena kama ilivyokua miaka ya nyuma. Sasa amekua influencer ambaye kampuni kubwa kadhaa zinamuamini yeye kuwatangazia biashara yao. Amekua Mama kwa mdogo wake Eric ambaye naye tumemuona akikua kwenye macho yetu. Mama kwa watoto wawili ambao amewakuta wakiwa wanaishi na mchumba wake nyumba moja.

Kwenye haya maongezi yetu tuligusia hilo la hao watoto, na watoto wengine, kazi, yeye kama binti ambae amekua akikutana na mawe mengi. Muonekano wake. Familia kwa upande wa Mama na Baba na mambo mengine kadhaa. Niko hapa kukutakia uangaliaji mwema wa kipindi hiki na yangu matumaini utavutiwa na jambo ambalo litakufanya ubadili maisha yako kwa uzuri zaidi. Tafadhali enjoy.

Love,
Salama.

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2

Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music)

Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music)

Salama Na  MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie)

NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie)

JOEL LWAGA Feat. CHRIS SHALOM - UMEJUA KUNIFURAHISHA (OFFICIAL VIDEO)

JOEL LWAGA Feat. CHRIS SHALOM - UMEJUA KUNIFURAHISHA (OFFICIAL VIDEO)

MAJIZZO AVUNJA UKIMYA | Bifu na Diamond? Ukaribu na Hamisa | Ndoa na Lulu | Spika za Jizo Sound

MAJIZZO AVUNJA UKIMYA | Bifu na Diamond? Ukaribu na Hamisa | Ndoa na Lulu | Spika za Jizo Sound

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)

Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)

Eska Hity Listopad 2025 🔊 Radio Hit Mix – Najświeższe Przeboje Vol.25

Eska Hity Listopad 2025 🔊 Radio Hit Mix – Najświeższe Przeboje Vol.25

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

🔴LIVE: BABA LEVO AFUNGUKA HAYA HAPA MAZITO / THE SWITCH NDANI YA WASAFI FM AUG 26 AUG 2024

🔴LIVE: BABA LEVO AFUNGUKA HAYA HAPA MAZITO / THE SWITCH NDANI YA WASAFI FM AUG 26 AUG 2024

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Jinsi ya kupika vitumbua vya mchele laini na vitamu  | Soft mini rice cake recipe

Jinsi ya kupika vitumbua vya mchele laini na vitamu | Soft mini rice cake recipe

TAARIFA NJEMA SANA HII!! DUBE KACHAGULIWA PEKE YAKE KUTOKA TANZANIA , CAF IMERIDHIKA SASA...

TAARIFA NJEMA SANA HII!! DUBE KACHAGULIWA PEKE YAKE KUTOKA TANZANIA , CAF IMERIDHIKA SASA...

Salama Na Lil Ommy Ep 1 | Air Tabora Part 2

Salama Na Lil Ommy Ep 1 | Air Tabora Part 2

DIASPORA (Home is Away)  | Full Kenyan Movie | 2025 Latest Movies

DIASPORA (Home is Away) | Full Kenyan Movie | 2025 Latest Movies

Salama Na Rosa Ree Ep 15 | OSHUN Part 1

Salama Na Rosa Ree Ep 15 | OSHUN Part 1

Bartosiak, Dymek, Morawiecki: Koniec globalizacji i „Punkty Krytyczne”. Polska premiera książki.

Bartosiak, Dymek, Morawiecki: Koniec globalizacji i „Punkty Krytyczne”. Polska premiera książki.

Kto nie chce pokoju na Ukrainie? | Witkoffgate? | Straty Ukrainy

Kto nie chce pokoju na Ukrainie? | Witkoffgate? | Straty Ukrainy

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]