UKIOTA NDOTO HIZI 4 NI KWELI TAHADHARI USIMWAMBIE MTU YEYOTE!!
Автор: Apostle Deusi Sengo
Загружено: 2025-10-02
Просмотров: 162534
Ndoto zako zinaweza kuwa ujumbe wa kweli kutoka kwa Mungu. Katika video hii, tunafunua ndoto 4 zenye maana ya kiroho ambazo huja kwa watu walioko kwenye safari ya kiroho au mabadiliko ya maisha. Lakini tahadhari: usiwahadithie mtu yeyote kabla ya kuelewa siri yake! Tazama hadi mwisho ujifunze kwa undani.
0:00 – Utangulizi
1:14 – Ndoto ya Kwanza
2:55 – Ndoto ya Pili
4:00 – Ndoto ya Tatu
5:44 – Ndoto ya Nne
6:45 – Hitimisho
#MaanaYaNdoto
#NdotoZaKweli
#PropheticDreams
#nenolamungu #ndoto
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: