Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MSAKO USIKU WA MANANE, SABAYA AVAMIA GODOWN HEWA AKUTA MAGENDO, PESA, MAFUTA NA POMBE

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2021-01-20

Просмотров: 167768

Описание:

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum iliyopelekea kunaswa kwa shehena (Godown) lililokuwa likitumika kuhifadhi vileo feki na bidhaa zingine zikiwemo shehena za mbolea na saruji bila kuwa na vibali halali.

Msako huo uliofanyika kwa kushtukiza usiku wa manane umemnasa Alex Elibariki Swai na Mkewe wanaofanya biashara hizo bila kulipa kodi, huku stika maalum za TRA zikigundulika baadhi kutokuwa halali na zile halali kuwa katika bidhaa tofauti na zilizoidhinishwa awali na Mamlaka.

Wafanyabiashara hao ambao pia walikutwa na lita nyingi za Diesel kinyume na sheria pamoja na fedha kiasi kikubwa ndani wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola huku DC Sabaya akiagiza kulindwa kwa eneo lote hilo hadi Mamlaka husika zitakapomaliza shughuli zake na kubainisha taarifa zote za muhimu kwa ajili ya hatua zaidi.

MSAKO USIKU WA MANANE, SABAYA AVAMIA GODOWN HEWA AKUTA MAGENDO, PESA, MAFUTA NA POMBE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA

DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA

KIMENUKA.! DC SABAYA AMDAKA DAKTARI FEKI AKITIBU WATU/AWEKWA CHINI YA ULINZI

KIMENUKA.! DC SABAYA AMDAKA DAKTARI FEKI AKITIBU WATU/AWEKWA CHINI YA ULINZI

OLE SABAYA AJITETEA KWA KUMTAJA MAGUFULI, DKT MPANGO, NA GAVANA WA BANK KUU

OLE SABAYA AJITETEA KWA KUMTAJA MAGUFULI, DKT MPANGO, NA GAVANA WA BANK KUU

SABAYA AKAMATA MAMA ANAPIKA GONGO,

SABAYA AKAMATA MAMA ANAPIKA GONGO, "USAMEHEWE WAKATI UNAUA WATU"

SABAYA ACHANGANYIKIWA NA MASWALI MAHAKAMANI/ AKIRI KUMILIKI SILAHA

SABAYA ACHANGANYIKIWA NA MASWALI MAHAKAMANI/ AKIRI KUMILIKI SILAHA

DC UBUNGO AIBUKA SINZA KUKAMATA MADADA POA GESTI NA BAR AKUTA MADUDU, AZIFUNGIA

DC UBUNGO AIBUKA SINZA KUKAMATA MADADA POA GESTI NA BAR AKUTA MADUDU, AZIFUNGIA "KAMATA WOTE"

DC ATIBUA TUKIO LA UJAMBAZI

DC ATIBUA TUKIO LA UJAMBAZI "MLINZI WA BENKI ALIPANGA DILI NA MAJAMBAZI WAIBE MILIONI 70"

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

#LIVE: SATIVA ANAANIKA MAZITO MUDA HUU, KUTEKWA KWAKE MPAKA KUTUPWA KATIKATI YA WANYAMA WAKALI

#LIVE: SATIVA ANAANIKA MAZITO MUDA HUU, KUTEKWA KWAKE MPAKA KUTUPWA KATIKATI YA WANYAMA WAKALI

RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani

RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"

BILIONEA WA KILIMO ALLY HAPI, SHAMBANI KWAKE, MAMILIONI ANAYOINGIZA, TOKA U-DC, RC MKULIMA BINGWA

BILIONEA WA KILIMO ALLY HAPI, SHAMBANI KWAKE, MAMILIONI ANAYOINGIZA, TOKA U-DC, RC MKULIMA BINGWA

DC UBUNGO ASHTUKIZA KWENYE MADANGURO AKAMATA NA KUZIFUNGIA BAR RIVERSIDE

DC UBUNGO ASHTUKIZA KWENYE MADANGURO AKAMATA NA KUZIFUNGIA BAR RIVERSIDE "WAFIKISHWE MAHAKAMANI"

DC Sabaya alivyoondoka na waliokula MILIONI 126

DC Sabaya alivyoondoka na waliokula MILIONI 126 "mmekula mafichoni"

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA -

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?

DC SABAYA AKUTA MAFUTA LITA TANO YANAUZWA ELFU 34, AKASIRIKA AMBANA MFANYABIASHARA “TUTAZINGUANA”

DC SABAYA AKUTA MAFUTA LITA TANO YANAUZWA ELFU 34, AKASIRIKA AMBANA MFANYABIASHARA “TUTAZINGUANA”

Mfanyabiashara awagomea polisi | Sipandi hii gari mimi twende kwa mguu | Anatishia kutufyeka mapanga

Mfanyabiashara awagomea polisi | Sipandi hii gari mimi twende kwa mguu | Anatishia kutufyeka mapanga

МУЖЧИНА, КОТОРЫЙ ЖИВЕТ С ДВУМЯ ЖЕНАМИ В ОДНОЙ КРОВАТИ/РАСКРЫВАЕТ СВОЙ СЕКРЕТ/ЭТО ЕГО ЖИЗНЬ - ШОУ-...

МУЖЧИНА, КОТОРЫЙ ЖИВЕТ С ДВУМЯ ЖЕНАМИ В ОДНОЙ КРОВАТИ/РАСКРЫВАЕТ СВОЙ СЕКРЕТ/ЭТО ЕГО ЖИЗНЬ - ШОУ-...

RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake

RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake

MWANAUME ALIYENYANG'ANYA MAJAMBAZI BUNDUKI

MWANAUME ALIYENYANG'ANYA MAJAMBAZI BUNDUKI "NATAMANI KUWA MWANAJESHI"

Ng'ombe Wa Mzungu Akivuruga Kijiji DC Awakaanga Viongozi!

Ng'ombe Wa Mzungu Akivuruga Kijiji DC Awakaanga Viongozi!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]